1/8
Katekisimu Ndogo screenshot 0
Katekisimu Ndogo screenshot 1
Katekisimu Ndogo screenshot 2
Katekisimu Ndogo screenshot 3
Katekisimu Ndogo screenshot 4
Katekisimu Ndogo screenshot 5
Katekisimu Ndogo screenshot 6
Katekisimu Ndogo screenshot 7
Katekisimu Ndogo Icon

Katekisimu Ndogo

AlberaInfoTech
Trustable Ranking Icon可信任
1K+下载次数
2MB大小
Android Version Icon4.0.3 - 4.0.4+
Android版本
1.0(10-10-2020)最新版本
-
(0 评价)
Age ratingPEGI-3
下载
详情评价版本信息
1/8

Katekisimu Ndogo介绍

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,


       App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki,Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998。

        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

      

1:SEHEMU YA KWANZA:IMANI

      - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani。

      

1.0:NASADIKI

        1.1:KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2:MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3:YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4:AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5:AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6:TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7:NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8:KANISA TAKATIFU KATOLIKI

        1.9:USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10:MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11:UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE


2:SEHEMU YA PILI:SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema,Visakramenti,Sakramenti

umuhimu wa Sakramenti,nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika。 Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0:LITURJIA

        2.1:NEEMA

        2.2:SAKRAMENTI

        2.3:VISAKRAMENTI

        2:4:莎拉


3:SEHEMU YA TATU:AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa,pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila,aina za fadhila,dhambi aina za dhambi,vishawishi na asili zake,

na pia majibu kuhusu dhamiri。 Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo。

3.0:AMRI KUU

       3.1:AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2:AMRI ZA KANISA

       3.3:FADHILA

       3.4:DHAMIRI

       3.5:DHAMBI

       3.6:VISHAVISHI


4:SEHEMU YA NNE:SALA MUHIMU

Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 namna ya kusali,wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima。

        4.0:SALA ZA ASUBUHI

        4.1:SALA YA JIONI

        4.2:SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3:SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4:SALA ZA JIONI

        4.5:SALA ZA KOMUNYIO

        4.6:SALA KWA BIKIRA MARIA

Katekisimu Ndogo - 版本1.0

(10-10-2020)
其他版本
新特性 Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998. Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

还没有评论或评分!要留下第一条评论或评分,请

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Katekisimu Ndogo - APK信息

APK版本: 1.0程序包: application.alberainfotech.katekisimundogo.com.katekisimundogo
Android兼容性: 4.0.3 - 4.0.4+ (Ice Cream Sandwich)
开发商:AlberaInfoTech权限:0
名称: Katekisimu Ndogo大小: 2 MB下载次数: 267版本: 1.0发布日期: 2024-06-08 10:31:22最小屏幕: SMALL支持的CPU:
程序包ID: application.alberainfotech.katekisimundogo.com.katekisimundogoSHA1签名: 86:F1:91:85:85:3E:CE:F9:22:C8:A6:31:8D:39:9D:FA:98:65:D1:F6开发商 (CN): Android组织 (O): Google Inc.本地 (L): Mountain View国家/地区 (C): US州/市 (ST): California程序包ID: application.alberainfotech.katekisimundogo.com.katekisimundogoSHA1签名: 86:F1:91:85:85:3E:CE:F9:22:C8:A6:31:8D:39:9D:FA:98:65:D1:F6开发商 (CN): Android组织 (O): Google Inc.本地 (L): Mountain View国家/地区 (C): US州/市 (ST): California

Katekisimu Ndogo的最新版本

1.0Trust Icon Versions
10/10/2020
267 下载次数2 MB 大小
下载